PART12:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 19,061

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 211
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 3 жыл бұрын
Yaani kila siku ni matatizo, alafu hukatagi tamaa, ila mwisho,mara kudhulumiwa.pole sana kwa kweli.
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Kweli
@cuteninoh572
@cuteninoh572 3 жыл бұрын
Jmniii kumbe mtu ukichukuliwa kivuli ndo unatabaika hiv kila mtu anakuona mbaya jmn😥😥
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
kuna ❤ nyuma yenu inakaa kuwa so nice
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Story kila ikiendelea inazidi kunoga hadi raha ila pole kaka
@matheothomas1891
@matheothomas1891 3 жыл бұрын
Huyuu jamaa ana story kali Sanaa nilisikiliza zamani nikiwa form two redio free
@emmanelly6864
@emmanelly6864 3 жыл бұрын
Hii ni life history, maisha magumu lakini yaonekana bahati ilikua side yake kila step
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 3 жыл бұрын
hiyo ndio zile movie za kihindi...wenyew wanasema ni ndefu lakn sterring akufi
@petermwantole9433
@petermwantole9433 3 жыл бұрын
Nimefurah sana kukutana na Davistar Mwanza Pasiasi jana tarehe 22 nov 2020,,ilikua km suprise,,hongera kwa kazi nzuri
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 3 жыл бұрын
Davi mwanangu story hii ni nzuri sana kijana anajua sana kuelezea. Ana kipaji na hachoshi kabisa kumsikiliza. Keep it up.
@salehfarid1003
@salehfarid1003 3 жыл бұрын
HUYU JAMAA INAONESHA ANAPENDA KULA ATAR ... manake anavotamka majina ya vyakula mpaka mate yanajaa
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣😅🤣🤣🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Nani asiependa kula???bila Kula huishii
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jafariemmanuel1694
@jafariemmanuel1694 3 жыл бұрын
Aaa mwanangu unazingua utakatishiaje kwenye utamu mzeeee katie mbele mbele huko 😂😂😂😂😂😂 .good story ayxee 👍
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
😆😆😆😆
@highnesseverest3619
@highnesseverest3619 3 жыл бұрын
Yahan kuna wakat unapata tabu kidogo tu unaanza kulalamika una mapito magumu wakati kuna watu wana mapito tangu utoto mpaka unakuwa mtu mzima ujawahi kukaa na kufurahia maisha Bug up sana mwita tangu ujawahi kuchagua kazi wala kuwa mzigo kwa mtu kiukweli mfano wa kuigwa kabisa
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Minimependa sio mvivu kila kazi unafanya mashallah pole Sana kwamitihani
@shukranhans9527
@shukranhans9527 3 жыл бұрын
Da watu tunasubiri ndo tulale tushakuwa watumwa na hii story
@demetriushenry3585
@demetriushenry3585 3 жыл бұрын
Davista broo kaz nzur But now a days unakatisha sana story katikati then unamuelekeza vitu camera man wako, nadhan inafaa kujipanga kabla ya kuanza shooting 🌠🌠🌠
@cesiliamakengo545
@cesiliamakengo545 3 жыл бұрын
Pole ndugu kwa mitihani unayopitia na mungu amekupa moyo wa ujasiri hongera
@elleng5227
@elleng5227 Жыл бұрын
The real definition of Mateso ya mwenye haki ni Mengi , lakini Bwana umuokoa nayo yote, hapo wamekuibia nyota sjui kimvuli, hvi wangekuachia ungekuwaje?..,
@masoudkatiba1484
@masoudkatiba1484 3 жыл бұрын
Very exciting story
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Mungu atunusuru 🤗🤔🇯🇴🇯🇴
@sharifusaidi461
@sharifusaidi461 3 жыл бұрын
Yes.....
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Licha yakua umekua ukidhulumiwa hujawahi kufa moyo u have abig heart
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@nahishakieathumani5041
@nahishakieathumani5041 3 жыл бұрын
Asnteee na stir brother
@jeaninemugisha6395
@jeaninemugisha6395 3 жыл бұрын
Mungu akuifadhi
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
nzuri hapo changamoto za maisha
@b.a.m6243
@b.a.m6243 3 жыл бұрын
Wenye mb chache tumesoma comment tunangojea saa12 tuwah vocha 😭😭
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 3 жыл бұрын
Daaah zablon Kaka ang kuna vitu tunavipokea Toka kwako
@kelvindaudi6765
@kelvindaudi6765 3 жыл бұрын
Sawa sawa kaka tuko bamonja
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Pole kaka umepitia mugumu san
@shukridjibril6848
@shukridjibril6848 3 жыл бұрын
Story fresh kabisa
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 жыл бұрын
aiseeee aaah but mungu tu alikuwa side yako 😊
@jacobmwacha7285
@jacobmwacha7285 3 жыл бұрын
Davista muulize vip baada ya kuekewa dawa kuona wachaw aliwaona
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Story ni nzuri sana inanoga
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Weuweeeh! Hatimae imekuja jmn🤣🤣
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Duu atr san
@saidmohamed9627
@saidmohamed9627 3 жыл бұрын
Daah jamaa kweli ni comando huyu yaani anaroho ngumu kama chuma...!!
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
Na kumbuka zamani kwenye igizo la mambo hayo kwenye utamu utasikia Tililili liliiii yaani mpaka next week 😭😭😭😭😭
@wilsonchishomi1083
@wilsonchishomi1083 3 жыл бұрын
Nawaza tu yule trafiki alivyorudi na kukuta hela hakuna alikuwa kwenye hali gani...
@wilsonchishomi1083
@wilsonchishomi1083 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kalia pengine
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@nyendochamwela3031
@nyendochamwela3031 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Acha kabisaaa
@brenda1083
@brenda1083 3 жыл бұрын
Alijua majini ya tz zimechukua
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Pili somoe mimi mimi njoooon💃 mazur🙄🙄🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Ndiyo nimefika. Asanteee
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 karbu daa
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Asante dear ndio nafika Sahii, Jana nililala mapema si Wajua Leo kazi, penda sana my kidada 😘😘😘
@denismugisha2
@denismugisha2 6 ай бұрын
Nilichojifunza jamaa hadumu ktk neema, ingawa ana bahati sana lkn neema ikijitokeza ghafla inatokea sababu ya kumtoa
@inspirationmessages8420
@inspirationmessages8420 3 жыл бұрын
Yaan ni mitihani juu ya mitihani Likitoka moja linaingia jingine Km season ya Merlin
@bahatiabdillah5307
@bahatiabdillah5307 3 жыл бұрын
Nilichogundua kweny hii movie jamaa alipenda sana kununua mabegi😅😅
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Huko kuhama hama kote angeshikilia nguo au zote angezivaaa pamoja ili ahame nazo...Hujaona jinsi alivyomchapa kazi na bidiii umeona mabegi tu😏😏😏
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
😁😁😁
@bahatiabdillah5307
@bahatiabdillah5307 3 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 kanye mbele kila mtu anastory yk ya maisha kaamuwa kutupa yk so naweza andika chochote nitakacho jisikia kwhy ulitaka nimuonee huruma 😏kwendraa huyo
@cuteninoh572
@cuteninoh572 3 жыл бұрын
Kila sehem kula inaonekan mkurya wew unapenda kula mnooo😂😂unanichekesha kila kipande wew kula tuuuuu
@aishahassan9812
@aishahassan9812 3 жыл бұрын
Pole san umeteseha hakika😥 Yote hayo yamesababiswa na kukosa kivuli chako
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Hao wako nyuma watoto ama watu wazima mana naona kudarana darana hapo ndokazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 halafu str inaxidi kuwa tamu ss kumezaa tuu mana msimuliaji anaitafuna vilivyo😋😋😋😋
@kibibi7826
@kibibi7826 3 жыл бұрын
Ilikua naisubir ajjab
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Yan hulal mzee
@kibibi7826
@kibibi7826 3 жыл бұрын
@@martinmaryogo6081 we mbon ujalala
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@kibibi7826kwalalika🤣🤣
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤗🤗🤗🤗🤗🤗Mary xmas ilove u za apetaiza kwaroom
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
na siku hizi nimekuwa mtumwa lazima nisubiri upload ndio ni lale💺💺🇰🇪🇰🇪💃💃💃
@roz3990
@roz3990 3 жыл бұрын
Ila Davistar hizi title mbona kama hazikai poa
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Wapi leo
@thaaneyamohamed6143
@thaaneyamohamed6143 3 жыл бұрын
Hheh mmetisha🤣😜
@halimaaa3860
@halimaaa3860 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🥰
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Mmb
@shaminaathumani4285
@shaminaathumani4285 3 жыл бұрын
Dah hii story mtihan kwakweli kweli kila mtu ana mazito lakin tunazidiana
@jhayparism1152
@jhayparism1152 3 жыл бұрын
Jamaa kila baada ya dk lzm ataje msosi 🤣🤣🤣
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Sasa ina weza pita siku bila msosi
@martinmaryogo6081
@martinmaryogo6081 3 жыл бұрын
Mmmmmh watu hamlali jmn?
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Viama juu ya viama
@hellenmary464
@hellenmary464 3 жыл бұрын
Tunasubiri iendelee
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
Duuuh 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄poole saaana kizungu zungu chako icho kilikufata ila hukujuwa duuuh!😃😃😄😄😄😄😄😄kazi ipo tweendeleye na stori.
@umbeaeastafrica7943
@umbeaeastafrica7943 3 жыл бұрын
Bro Zabroni, yule traffic ulochukua pesa zake ndio mimi apa bro 🤣🤣🤣🤣🤣.
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 unataka ulipwe au dhuruma haidumu kama ingekuwa nipesa ya halali usingeifichaaa
@umbeaeastafrica7943
@umbeaeastafrica7943 3 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 😂😂😂 naomba nilipwe pesa zangu tafadhali. Alifanya vibaya sana maana niliporudi kuzichukua sikuzikuta kumbe Zabroni alikuwa kuzichukua yeye.
@alitoufik5477
@alitoufik5477 3 жыл бұрын
Maisha ni misukosuko dah
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 жыл бұрын
Mwendelezo kma kawaida
@tamranadiya2962
@tamranadiya2962 3 жыл бұрын
Duh watu mpo faster ndani ya dakika3 watu kumi na sita
@latifahissa1114
@latifahissa1114 3 жыл бұрын
Loh haya ni mazito
@josiangamagila
@josiangamagila 3 жыл бұрын
Huyu jamaaa daah
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 жыл бұрын
🇰🇪🎤🎤🎤
@meckylucy215
@meckylucy215 3 жыл бұрын
Hamlali
@sallo27.70
@sallo27.70 3 жыл бұрын
Davistar Mata. Naomba kuuliza kuangalia matangazo Ni Muhimu kuangalia.!
@nyendochamwela3031
@nyendochamwela3031 3 жыл бұрын
Yes ni muhimu maana ndio anapo patia pesa za uendeshaji.
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
Ndio ni muhimu angalia hadi mwish wa tangazo ndo atapata vijisent kidogo
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Amepitia mengi huyu jamaa but Najiuliza, aliwazaje kufanya mapenzi akiwa na 8yrs, 🤔
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 жыл бұрын
Unafanya mapenz lkn hupat chochote just kuingiz na kutoa ...mm nmefanya mapenz mara ya kwanz nina miak 5 ...mara y pil miaka 8
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@fahadjinni5845 ww Hatari my dear 😂😂😂
@salumbunga240
@salumbunga240 3 жыл бұрын
Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang resptr
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 7 ай бұрын
Matajiri kazi yao nikuzulumu tu
@wantangosaimon5295
@wantangosaimon5295 3 жыл бұрын
Xtory kila mda inazid kuwa tamu
@mazoonalbalushi5932
@mazoonalbalushi5932 3 жыл бұрын
Jamani Mimi leo nimesikiliza zote na sasa nalala jamani tunataka kifutacho
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Ulikuwa mjanja hukutaka kuumizwaa pesa kidogo hiyo 20 za tz AMA Kenya mana zakenya hixo hela ndefu hixo za tz bn kidogo sana
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 3 жыл бұрын
Duuh mitihani aliyopitia ni elimu tosha
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 3 жыл бұрын
Dah umezulumiwa sana lkn hukua unajiongeza ukisaidiwa sehem na ww saidia pia vitu vidogo vidogo.. ila pia hongera kwa kujituma
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Twende Sasa🤓🤓
@matheothomas1891
@matheothomas1891 3 жыл бұрын
Mamaeeeee chezeaa vpn nitawakomesha safari hiii wamokoo kama kawaa
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
Hamlali jamaniiiiii
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hapalaliki 😂😂😂😂
@hamadwaziri121
@hamadwaziri121 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 hahahaah ww
@mohdnasser894
@mohdnasser894 3 жыл бұрын
huyo mkasa ne upenda sana
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Mbona nime i tafuta sana hii jameni
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 жыл бұрын
nimesumbaa hapo kwa copyright💺💺💺🇰🇪🇰🇪🤔🤔🤔🤔🤔
@alexjos7625
@alexjos7625 3 жыл бұрын
Bro toa movie..hii ni season kabisaaa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳😳😳 🤔🤔
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 3 жыл бұрын
Dunia ina mambo
@anitaanita4049
@anitaanita4049 3 жыл бұрын
Nimeisubili kinoma bt hatimaye
@mariammgombayeka1824
@mariammgombayeka1824 3 жыл бұрын
Pls story imenoga ndo yakatika jamani?lete basi jamooni
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Part 12.....
@Masa__966
@Masa__966 3 жыл бұрын
Subscribe kwenye channel yangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏✌🏽‼️
@josephinemumbua159
@josephinemumbua159 3 жыл бұрын
Yeah sikuile Kwa mandizi kivuli kachukuliwa 🙉🙉👹makaburini
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 3 жыл бұрын
Dhu! Mamaeee yani niko peke yangu arafu jitu lingine linatokea si zani kama nitabakisha hata kinyoleo cha ugoko kwa hizo speed nitakazo tokanazo hapo 🤣🤣🤣🤣
@shaminaathumani4285
@shaminaathumani4285 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@francisgaudence511
@francisgaudence511 3 жыл бұрын
Mskiti wa waislam
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 3 жыл бұрын
Hajakosea kwenye biblia kuna misikiti ya Kiyahudi
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 Hoiiiii🤣🤣🤣
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 3 жыл бұрын
Misikiti ipo ya aina nyingi ndugu
@christophersaimon4398
@christophersaimon4398 3 жыл бұрын
hawalali
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Kumbe mm ndio wakwanza kabisa
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Asante na ww pia hujachelewa
@nahirhumoud8756
@nahirhumoud8756 3 жыл бұрын
Baba tushushiye vitu una laza damu
@solomonwilliam7131
@solomonwilliam7131 3 жыл бұрын
😁..wa Kwanza
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Hongera
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 shoga upo
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@aiyamhassan1321 nipo shoga angu Aiyam. Ndiyo nimeingia. Asante shoga angu😘😘😘
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 3 жыл бұрын
YAAN HPO HYO YOTE KM KUNGEKUW N YULE WA KURUDSHA MUDA NYUMA BAS ASINGETHIBUTU KUMUAMBIA BIBI YKE KUW MCHAWI
@dallasdrones9146
@dallasdrones9146 3 жыл бұрын
Davistar uyo mtoto apo nyuma nichkulie namba yake
@awadhrajab9527
@awadhrajab9527 3 жыл бұрын
Intaneti Ya Tigo Pasua Kichwa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Kuchelewa nayo🤔🤔🙄🙄🇯🇴🇯🇴
@lulubintrashid1903
@lulubintrashid1903 3 жыл бұрын
Story ndio inaanza sasa🤣🤣👊
@abduliddy4545
@abduliddy4545 3 жыл бұрын
Piga kazi mkuu by timu dm
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 жыл бұрын
Mambo yanazidi kunoga
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Nimechelewa leo
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Pamoja
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Pamoja
@irambonaelkhamissi3443
@irambonaelkhamissi3443 3 жыл бұрын
Wa 18 mu dkka 2
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 62 МЛН
Implications of cabinet dissolution
21:35
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 60 М.
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 482 М.
Эксперимент вышел из под контроля😱😢
0:57
Следы времени
Рет қаралды 3,6 МЛН
And how are they not embarrassed?
0:19
Rinuella
Рет қаралды 21 МЛН